Recent News and Updates

Cocoa ya Tanzania yaendelea kupata fursa kwenye soko la Ufaransa na Ulaya

Tarehe 31 Oktoba,2022, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo, alifanya mazungumzo na Bw. Simran Bindra, ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi na Waanzilishi wa Kituo cha Kuchakata kokoa cha Kokoa Kamili kilichopo… Read More

Balozi Shelukindo ahutubia Mkutano wa 215 wa UNESCO

Mhe. Samwel W. Shelukindo, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO, akiwasilisha hotuba ya nchi katika Mkutano wa 215 wa Bodi Tendaji ya Shirika hilo tarehe 11 Oktoba 2022, jijini Paris. Mh… Read More

Balozi Shelukindo ashiriki Mkutano wa UNESCO nchini Mexico

Mhe. Samwel W. Shelukindo, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye UNESCO, akishiriki katika mjadala kwa niaba ya Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb.), Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenye… Read More

Maonesho ya 44 ya Utalii ya IFTM Top Resa Paris,  yafanyika nchini Ufaransa

Tarehe 20 - 22 Septemba, 2022, Ubalozi ulishirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na wadau wengine wa utalii nchini walishiriki kwenye maonesho ya 44  ya utalii ya IFTM Top Resa, mjini Paris, Ufaransa.… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in France

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in France