News and Events Change View → Listing

Ambassador Mwadini present credentials to Director General of UNESCO

Ambassador and Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to UNESCO H.E Ali Jabir Mwadini presented his credentials to the Director-General of UNESCO Ms. Audrey Azoulay in Paris on 23rd…

Read More

Waziri Makamba akutana na Makamu wa Rais wa Africa Total Energies nchini Ufaransa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa January Makamba amekuatana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Africa Total Energies Bw. Mike Sangster. Mazungumzo hayo yayofanyika…

Read More

Balozi Mwadini akutana na Wanadiaspora wanaoishi Ufaransa

Balozi Ali Mwadini amekutana na Wanadiaspora wa Tanzania waishio Ufaransa ambapo amewapongeza kwa ushirikiano na mshikamano wao. Pia amewaasa kuishi kwa kufuata sheria za nchi mwenyeji ili kutoharibu sifa ya…

Read More

Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb.), Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania ameongoza Mkutano wa UNWTO - 2023

Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (Mb.), Waziri wa Maliasili na Utalii ameongoza Mkutano wa 25 wa Baraza Kuu la Shirika la Utalii Duniani (UNWTO) unaloendelea jijini Samarkand, Uzbekistan. Katika Mkutano huo,…

Read More

Dr Mwigulu Nchemba akutana Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii wa Hispania

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Mb., yupo Madrid, Uhispania ambapo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii wa nchi hiyo, Bi. Xiana Mendez. , ambapo Uhispania…

Read More

MABUNGE YA TANZANIA NA MOROCCO YAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco Mhe.  Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo…

Read More

TAARIFA KUHUSU MAFUNZO MAFUPI KWA WANADIASPORA WAKUFUNZI WA LUGHA YA KISWAHILI KWA WAGENI

Ubalozi kwa kushirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) na Chama Cha Watanzania Ufaransa (CCWU) unapenda kuwataarifu Wanadiaspora wa Kitanzania waishio kwenye eneo la Uwakilishi kuwa unatarajia…

Read More

Konseli wa Heshima wa JMT nchini Ureno asaini Mkataba mbele ya Kaimu Balozi Khamis Omari

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Bw. Khamis Omar akitiliana saini na Bw. Rui de Sa Pessoa Mkataba wa kumteua Bw. Rui de Sa Pessoa kuwa Konseli wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Lisbon,…

Read More