News and Events Change View → Listing

MABUNGE YA TANZANIA NA MOROCCO YAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco Mhe.  Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo…

Read More

TAARIFA KUHUSU MAFUNZO MAFUPI KWA WANADIASPORA WAKUFUNZI WA LUGHA YA KISWAHILI KWA WAGENI

Ubalozi kwa kushirikiana na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) na Chama Cha Watanzania Ufaransa (CCWU) unapenda kuwataarifu Wanadiaspora wa Kitanzania waishio kwenye eneo la Uwakilishi kuwa unatarajia…

Read More

Konseli wa Heshima wa JMT nchini Ureno asaini Mkataba mbele ya Kaimu Balozi Khamis Omari

Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Bw. Khamis Omar akitiliana saini na Bw. Rui de Sa Pessoa Mkataba wa kumteua Bw. Rui de Sa Pessoa kuwa Konseli wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Lisbon,…

Read More

Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa washiriki Kikao cha 216 cha Bodi Tendaji ya UNESCO

Tarehe 16 Mei 2023, Bw. Khamis M. Omar, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Uwakilishi wa Kudumu kwenye UNESCO amewasilisha hotuba ya Tanzania kwenye Kikao cha 216 cha Bodi…

Read More

Miaka 59 ya Muungano

Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa unawaalika kwenye Miaka 59 ya Muungano utakaofanyika Ubalozini

Read More

Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO washeherekea Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama

Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO umeungana na nchi zingine duniani kusheherekea Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama. Siku hii huadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Februari katika…

Read More

CLARIFICATION ON RECENT CIRCULATED INFORMATION ABOUT THE SECURITY ALERT AND PRESENCE OF CIVIL UNREST IN TANZANIA

On 25th January, 2023, one of the Embassies accredited to Tanzania, issued a Security Alert advising its citizens to be vigilant of possible terrorist attacks in Dar es Salaam, and other…

Read More

EU - Tanzania Business Forum

The Forum will be held in Dar es Salaam Tanzania in February 2023 jointly organized by Government of Tanzania na European Union (EU).

Read More