Mheshimwa Balozi Mwadini Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa amekutana na Wanafunzi wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya Sayansi ya Siasa (Sciences Po - Reims) na Ecole Normale Supérieure (ENS). Pamoja na mambo mengine, Wanafunzi hao walijifunza masuala ya lugha ya Kiswahili Kimataifa, mahusiano ya kitamaduni kati ya Tanzania na Ufaransa na fursa zilizopo kwa wataalamu wa Kiswahili