Tarehe 20 - 22 Septemba, 2022, Ubalozi ulishirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na wadau wengine wa utalii nchini walishiriki kwenye maonesho ya 44  ya utalii ya IFTM Top Resa, mjini Paris, Ufaransa.  Itakumbukwa kuwa kwa sasa Ufaransa ndiyo nchi ya pili kwa kuleta watalii wengi nchini Tanzania.