Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania kwenye shirika la UNESCO unashiriki kwenye maonesho yanayofanyika kama sehemu ya maadhimsho ya  wiki ya Afrika yaliyoanza tarehe 23 Mei, 2022, Paris Ufaransa.