Tarehe 4 Septemba 2024, Mhe Balozi @AliMwadini alitembelea Shule ya Diplomasia iliyopo jijini Madrid, Uhispania, na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi (kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi (kulia) wa Shule hiyo.  Viongozi hao walijadili masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Uhispania katika utoaji wa mafunzo ya Kidiplomasia