Mheshimiwa Balozi Samwel Shelukindo awewapokea watumishi wapya Ubalozini hivi karibuni. Watumishi hao ni Mkuu wa Utawala (HOC) Bw. Amosi Tengu, Bw. Aggrey Meena(Councellor), Bibi Sekela Mwambegele (First Secretary).