Tarehe 6/10/2018 Mhe. Begum K. Taj, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi walimkaribisha rasmi Bi. Eva Z. Mashala ambaye alijiunga rasmi na Ubalozi huu tarehe 21 Septemba, 2015.

  • Mhe. Balozi Begum Taj, Bi Mashala na wafanyakazi wa Ubalozi
  • Mhe. Balozi Begum Taj, Bi Mashala na wafanyakazi wa Ubalozi