Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa January Makamba amekuatana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Africa Total Energies Bw. Mike Sangster. Mazungumzo hayo yayofanyika Paris, Ufaransa yalijikita katika eneo la utekelezaji wa Mradi wa Bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki ambalo linaanzia Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania.