L’Association de Tanzaniens en France (CCWU)
en collaboration avec L’Ambassade de la République Unie de Tanzanie à Paris est heureuse d’annoncer l’ouverture du Centre Culturel Tanzanien
Le Centre dispensera des cours de langue Swahili trois fois par semaine  à prix abordable à partir du 19 janvier 2015

Chama cha Watanzania Ufaransa (CCWU)
kwa ushirikiano na Ubalozi wa Tanzania Paris wanayo furaha ya kutangaza kufunguliwa kwa kituo cha utamaduni wa Mtanzania.
Kituo kitaanza kutoa masomo ya lugha ya Kiswahili mara 3 kwa wiki kuanzia tarehe 19 Januari 2015 kwa gharama nafuu.

For more information please contact:

Association de Tanzaniens en France
ccwu2014@gmail.com
06 20 38 81 17
06 18 24 99 06

Ambassade de la République Unie de Tanzanie
ambtanzanie@wanadoo.fr
01 53 70 63 66