Mheshimiwa Balozi Shelukindo awapokea watumishi wapya Ubalozini
Mheshimiwa Balozi Samwel Shelukindo awewapokea watumishi wapya Ubalozini hivi karibuni. Watumishi hao ni Mkuu wa Utawala (HOC) Bw. Amosi Tengu, Bw. Aggrey Meena(Councellor), Bibi Sekela Mwambegele (First Secretary). Read More