News and Events Change View → Listing

Balozi Yakubu Awasili Paris Kuanza Rasmi Majukumu Ya Kidiplomasia Ufaransa

PARIS, UFARANSA – 23 Aprili 2026Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, amewasili salama jijini Paris tayari kuanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake ya…

Read More

On 7th April 2026, the Africa Group of Ambassadors and Permanent Delegates to UNESCO hosted a farewell ceremony in honour of H.E. Ali J. Mwadini,

On 7th  April 2026, the Africa Group of Ambassadors and Permanent Delegates to UNESCO hosted a farewell ceremony in honour of H.E. Ali J. Mwadini, former Ambassador to France and Permanent Delegate to…

Read More

Balozi Mwadini akutana na Wanafunzi wa St. Mary Goreth Sekondari

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa amekutana na kundi la wanafunzi wa shule ya St. Mary Goreti Secondary School, Moshi ambao wametembelea Ubalozi ili kujifunza shughuli za Kibalozi na masuala mengineyo ya…

Read More

Ambassador Mwadini addresses the plenary of the UNESCO Executive Board

Ambassador Mwadini addresses the plenary of the UNESCO Executive Board during its on-going 221st session at the UNESCO Headquarters on 7th April 2025. Among other things, His Excellency stressed on the…

Read More

Balozi Mwadini akutana na Wanafuzi wanaosoma Vyuo Vikuu vya Sayansi nchini Ufaransa

Mheshimwa Balozi Mwadini Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa amekutana na Wanafunzi wanaosoma katika Vyuo Vikuu vya Sayansi ya Siasa (Sciences Po - Reims) na Ecole Normale Supérieure (ENS). Pamoja na mambo…

Read More

Balozi Mwadini wasilisha Hati za Utambulisho kwa Waziri wa mambo ya Nje wa Morocco

Balozi Mwadini awawasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Mhe. Nasser Bourita, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika na Raia wa Morocco waishio Nje ya Nchi. Mhe. Balozi Mwadini na Mhe. Bourita…

Read More

Balozi Mwadin akutana na Mwakilishi wa UNESCO wa Visiwa vya St. Kitts and Nevis (SKN) nchini Ufaransa

Balozi Mwadin  alipokutana na Mhe. David Doyle, Balozi wa Visiwa vya St. Kitts and Nevis (SKN) nchini Ufaransa na pia Mwakilishi wa Kudumu wa visiwa hivyo kwenye UNESCO.Kwa pamoja walizungumzia masuala…

Read More