News and Resources Change View → Listing

Timu ya Tanzania Wasichana (U17) yaichapa Misri nchini Tunisia

Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wasichana chini ya miaka 17 (U17), ipo mjini Tunis, Tunisia kushiriki Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchi za Afrika Kaskazini (UNAF). Katika michuano iliyoanza…

Read More

BALOZI ALI MWADINI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO HISPANIA

Mheshimiwa Balozi Ali Mwadini amekabidhi nakala za Hati za Utambulisho kwa Bi. Maria SEBASTIAN DE LA PEÑA, Mkurugenzi Mkuu wa Itifaki kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Uhispania.Aidha, kwa nyakati tofauti…

Read More

Ambassador Mwadini addressed the 219th Session of the UNESCO Executive Board

H. E. Ali J. Mwadini, Ambassador and Permanent Delegate to UNESCO, addressed the 219th Session of the UNESCO Executive Board. The United Republic of Tanzania  highlighted the ongoing efforts towards the…

Read More

Mheshimiwa Balozi Mwadini awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Emmanuel Macron, Rais wa Jamhuri ya Ufaransa

Tarehe 29 Februari 2024, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Ali Jabir Mwadini, amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Emmanuel Macron, Rais wa Jamhuri ya Ufaransa

Read More

Balozi Mwadini akutana na Mwenyekiti wa Kikundi cha Urafiki cha Maseneta wa Ufaransa na Nchi za Bahari ya Hindi

Balozi Mwadini amekutana na Mhe. Ronan Dantec, ambaye ni  Mwenyekiti wa Kikundi cha Urafiki cha Maseneta wa Ufaransa na Nchi za Bahari ya Hindi ikiwemo Tanzania tarehe 6 Februari 2024.Katika mazungumzo…

Read More

BALOZI ALI MWADINI AFANYA MAZUNGUMZO NA MASHIRIKA YA NDEGE

Balozi wa Tanzania nchini Uhispania mwenye makazi yake jijini Paris, kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na mashirika makubwa ya ndege yanayofanya safari zao ndani na nje ya bara la Ulaya.…

Read More

TANZANIA YANG’ARA KWENYE MAONESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI MADRID

Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (FITUR), yanayoendelea mjini Madrid limevuta makampuni mengi ya utalii pamoja na watu mmoja mmoja wanaotafuta nchi za kutembelea.  Ubalozi wa…

Read More

BALOZI ALI JABIR MWADINI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KATIKA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA UTALII (UN TOURISM)

Tarehe 25 Januari 2024, Mhe. Ali Jabir Mwadini, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ufaransa ambae pia ni Mwakilishi wa Kudumu katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism) lenye makao…

Read More