News and Events Change View → Listing

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Samwel Shelukindo awasilisha Hati zake za Utambulisho

Mheshimiwa Samwel Shelukindo, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mheshimiwa François Hollande, Rais wa Jamhuri ya Ufaransa leo tarehe 23 Februari, 2017, Ikulu…

Read More

Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi. 

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, 30/10/2015

Tarehe 30/10/2015, Balozi za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zilizopo Paris Ufaransa ziliadhimisha siku ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo mkazo wake ulikuwa ni kuenzi ; kudumisha ; kukuza ; na…

Read More

Uzinduzi wa majengo ya Ubalozi Paris, Ufaransa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na…

Read More

Inauguration of Tanzania Embassy building in Paris

Inaugurating newly bought buildings for Tanzania Embassy in Paris, Ambassador of Tanzania to France, Hon Begum Taj, appreciates the efforts by Kikwete's government to acquire a building for the embassy in…

Read More