Cocoa ya Tanzania yaendelea kupata fursa kwenye soko la Ufaransa na Ulaya
Tarehe 31 Oktoba,2022, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo, alifanya mazungumzo na Bw. Simran Bindra, ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi na Waanzilishi wa Kituo cha Kuchakata kokoa cha Kokoa…
Read More