News and Events Change View → Listing

CLARIFICATION AND APOLOGY FROM AIR FRANCE—KLM

Following the Ministrys' statement issued on 28th January, 2023 regarding the unfounded and baseless claims of civil unrest in the United Republic of Tanzania by KLM Royal Dutch Airline; the Minister for…

Read More

PRESS RELEASE : STATEMENT BY KLM-ROYAL DUTCH AIRLINE

The Ministry of Works and Transport has noted with serious concerns the publication of statement regarding the existence of civil unrest in the United Republic of Tanzania. The statement was made available on…

Read More

Balozi Shelukindo akabidhiwa tuzo kwa mchango wake wa kukuza Kiswahili

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Bw. Yakubu akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa,  Mhe. Samwel Shelukindo, tuzo kwa kutambua mchango wake katika kukuza lugha ya Kiswahili.

Read More

Cocoa ya Tanzania yaendelea kupata fursa kwenye soko la Ufaransa na Ulaya

Tarehe 31 Oktoba,2022, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo, alifanya mazungumzo na Bw. Simran Bindra, ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi na Waanzilishi wa Kituo cha Kuchakata kokoa cha Kokoa…

Read More

Balozi Shelukindo ahutubia Mkutano wa 215 wa UNESCO

Mhe. Samwel W. Shelukindo, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye UNESCO, akiwasilisha hotuba ya nchi katika Mkutano wa 215 wa Bodi Tendaji ya Shirika hilo tarehe 11 Oktoba…

Read More

Balozi Shelukindo ashiriki Mkutano wa UNESCO nchini Mexico

Mhe. Samwel W. Shelukindo, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwenye UNESCO, akishiriki katika mjadala kwa niaba ya Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb.), Waziri wa Utamaduni, Sanaa na…

Read More

Maonesho ya 44 ya Utalii ya IFTM Top Resa Paris,  yafanyika nchini Ufaransa

Tarehe 20 - 22 Septemba, 2022, Ubalozi ulishirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) pamoja na wadau wengine wa utalii nchini walishiriki kwenye maonesho ya 44  ya utalii ya IFTM Top Resa, mjini Paris,…

Read More

Ambassador Shelukindo receive a courtesy visit from Ambassador Designate of the Republic of Kenya to UNESCO

On 09th September 2022, H. E. Samwel W. Shelukindo, Ambassador and Permanent Delegate of the United Republic of Tanzania to UNESCO received a courtesy visit by H. E. Prof. Richard BOSIRE, Ambassador and…

Read More