Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa washiriki Kikao cha 216 cha Bodi Tendaji ya UNESCO
Tarehe 16 Mei 2023, Bw. Khamis M. Omar, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Uwakilishi wa Kudumu kwenye UNESCO amewasilisha hotuba ya Tanzania kwenye Kikao cha 216 cha Bodi…
Read More